速報APP / 新聞與雜誌 / Tovuti za Mikoa

Tovuti za Mikoa

價格:免費

更新日期:2019-01-28

檔案大小:4.4M

目前版本:2.0.2

版本需求:Android 4.0.3 以上版本

官方網站:http://www.tamisemi.go.tz/

Email:fragma093@gmail.com

聯絡地址:隱私權政策

Tovuti za Mikoa(圖1)-速報App

Programu hii itakuwezesha kufikia habari za mikoa ya Tanzania bara, ukiwa na programu hii hautahitaji kuandika viunga vya tovuti za mikoa, bali utatakiwa kubofya kwenye jina la mkoa unaotaka kuona habari zake. Hivyo programu hii itawawezesha watumiaji wengi wa simu janja kuwa karibu zaidi na taarifa, fursa, matukio na habari zinazotokea katika mikoa yao na mikoa mingine. Hii itasaidia ufikiaji wa taarifa kuwa rahisi kwa watanzania wengi. Ipakue programu hii na ufurahie fursa, habari na matukio katika mikoa ya Tanzania.

Tovuti za Mikoa(圖2)-速報App

Tovuti za Mikoa(圖3)-速報App

Tovuti za Mikoa(圖4)-速報App

Tovuti za Mikoa(圖5)-速報App

Tovuti za Mikoa(圖6)-速報App

Tovuti za Mikoa(圖7)-速報App

Tovuti za Mikoa(圖8)-速報App